NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA
SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA CAGLIERO
ILIYOPO IPOGOLO MKOANI IRINGA IMEANZA
RASMI KUPOKE...
of 1

Nafasi za kidato cha kwanza cagliero

SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA CAGLIERO INAMILIKIWA NA MASISTA WA MTAKATIFU TERESIA WA MTOTO YESU. SHULE INA UFAULU MZURI NA INATOA MALEZI BORA KWA WANAFUNZI. TUPIGIE 0756058976 KUJIPATIA FOMU YAKO YA MAOMBI
Published on: Mar 3, 2016
Published in: Education      
Source: www.slideshare.net


Transcripts - Nafasi za kidato cha kwanza cagliero

  • 1. NAFASI ZA KIDATO CHA KWANZA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA CAGLIERO ILIYOPO IPOGOLO MKOANI IRINGA IMEANZA RASMI KUPOKEA WANAFUNZI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA BWENI KWA MWAKA 2015. FOMU ZA KUJIUNGA ZINAPATIKANA KWA GHARAMA YA SHILINGI ELFU KUMI TU (TSHS 10,000) TU. MKOANI NJOMBE FOMU ZINAPATIKANA OFISI ZA YSDO ZILIZOPO GAPCO YA TENK LA MAJI JIRANI NA KWA STEVE UCHORAJI. MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0756058976 au 0717 517023 TAREHE YA MWISHO KURUDISHA FOMU NI 04.10.2014. NA USAILI NI 05.10.2014, USAILI WA PILI UTAFANYIKA 26.10.2014, KWA WALE WATAKAOSHINDWA 05.10.2014. MASOMO YATAKAYOTAHINIWA NI HESABU, KIINGEREZA NA MAARIFA. SHULE INA MAZINGIRA MAZURI YA KUSOMEA, VITENDEA KAZI VYA KUTOSHA NA WALIMU BORA NA WA KUTOSHA. MLETE MWANAO APATE ELIMU NA MALEZI BORA.